Header Ads

Alikiba, Diamond, na Jux wasanuliwa na Dudu Baya''

Alikiba, Diamond, na Jux wasanuliwa na Dudubaya''

Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop, Dudu Baya ameachia list ya wasanii wake 10 wa muziki

waliofanya vizuri ndani ya mwaka 2017. Rapa huyo amesema kuwa namba moja kwake ni

Jux huku Alikiba na Diamond wakipewa namba 9, 10. Je wewe list yako ikoje? 


No comments